Mshindi wa App Star 2014 Apatikana
Applications

Mshindi wa App Star 2014 Apatikana

Roman Mbwasi ameibuka kidedea katika shindano la kutafuta vipaji vya ugunduzi wa program za simu la AppyStar lililoandaliwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania…

Jinsi Ya Kutoa Blue Ticks Kwenye WhatsApp

Straight to the point: Kwanza hakikisha umeruhusu simu yako kuinstall application kutoka kwenye Unknown sources. Unaweza kufanya hivi kwa kwenda kwenye Settings > Security Baada…

Namna ya kufanya manunuzi Ebay, Amazon na Bestbuy
Social Media

Namna ya kufanya manunuzi Ebay, Amazon na Bestbuy

Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa…

Nokia wazindua Tablet ya android
Technology

Nokia wazindua Tablet ya android

Inaoneka kmapuni ya Nokia haitakufa hivi karibuni, siku si nyingi tangu Microsoft waanze kubadili jina kwa simu zote zinatozotoka baada ya kununua sehemu ya Nokia….

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia
Innovation

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Ndoto za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma masomo ya sayansi ya teknokojia ya habari na mawasiliano nchini ya  kuwa magwiji wa fani hiyo zinaelekea kutimia….

PRESS RELEASE: UZINDUZI WA SIMU MPYA YA SAMSUNG GALAXY NOTE 4

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMPUNI YA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI YA SAMSUNG YAZINDUA SAMSUNG GALAXY NOTE 4 TANZANIA Dar-es-Salaam, Novemba 14, 2014: Baada ya kusubiriwa…

Mambo Ya Kutegemea Ndani Ya Samsung Galaxy Note 4

Bila shaka mpaka sasa hivi umeshasikia kuhusu uzinduzi wa simu mpya Samsung Galaxy Note 4 jijini Dar es Salaam 14 Novemba 2014, Leo Ijumaa kuanzia…

Samsung Galaxy Note 4 Launch After Party in Dar!

Samsung wanajiandaa kuachia kitu kingine tena kwenye msafara wa Galaxy Note. Meet Galaxy Note 4 Tarehe 14 mwezi huu wa 11 Samsung watazindua Galaxy Note 4!…

Whatsapp sasa kumuonyesha mtu kuwa umesoma message yake
Instant Messenger

Whatsapp sasa kumuonyesha mtu kuwa umesoma message yake

Whatsapp inaonekana wanapenda sana drama zitokanazo na huduma yao. Si unakumbuka kipindi fulani kilio cha wengi ilikuwa ni ule utaratibu wa kuonyesha muda gani ulikuwa…

Vitabu 9 Ambavyo Bill Gates Anaamini Kila Mtu Inabidi Avisome

Ingawa kila dakika ya Bill Gates ina mahesabu, huyu jamaa bado ameweza kuwa anasoma kitabu kimoja kila wiki Vitabu vingi asomavyo huwa ni vya kubadilisha mifumo: jinsi…